Celebrity news

LADY JAYDEE CELEBRATES 37TH BIRTHDAY

By  | 

Tanzanian songstress Judith Wambura Mbibo, aka Lady Jaydee has celebrated her 37th birthday in style, by celebrating what God has done in her life. The Ndi Ndi Ndi singer marked the day by unleashing sexy photos on social media and posted a message many wouldn’t associate with her.

Screen Shot 2016-06-16 at 10.47.19 AM

Kama yote yale niliyapitia
Nikaweza kuvuka na mpaka leo hii nimesimama imara
Je! ni lipi gumu mbele yako bwana? endapo nilipita katikati ya moto wa maadui wenye nguvu za Kuogopwa na wengi na nikaendelea kung’ara
Nani atanizuia kama sio wewe bwana?
Sifa na utukufu nakurudishia wewe ulie juu ya mbingu na dunia
Mungu wa miungu yote
Sababu ulitaka mimi niwe mimi

All to Jesus i surrender
Naweza tu kusema
Hallelujah!
Hakuna mwanadamu alie juu ya mungu
Hata mimi leo niko hapa ni kwa neema za mwenyezi mungu tu

Siku kama leo the queen was born
Asante Martha Mbibo
Mwanamke kati ya Wanawake
#HakunaKamaMama

Screen Shot 2016-06-16 at 10.46.53 AM

I am a journalist, fashion show choreographer, a backstage manager, an actress and the owner of buzzcentral.co.ke. As a journalist, I specifically focus on entertainment and feature writing.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!